SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar(SMZ) imepitisha sheria ya watu wenye ulemavu pamoja na
kuunda mabaraza ya wilaya kwa lengo la kuhakikisha wanapata haki zao kama wanavyopata
watu wengine.<...Soma Zaidi...
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Dkt Omar D.Shajak akiwa na Balozi wa Finland Tanzania Bibi Thereza Zitting, kulia ni Naibu Balozi, katikati ni Bi Aziza ...Soma Zaidi...
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Dkt Omar D. Shajak akiwakaribisha Mawaziri, Makatibu Wakuu, na Watendaji wa Taasisi zinazosimamia Rasilimali ya Matofali ya Mawe na Mchanga, kuhusu ...Soma Zaidi...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, Agosti 24, 2022, amekutana na Uongozi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira pamoja na Idara ya Mazingira Zanzibar, kwaajili ya kuanza ...Soma Zaidi...