Head image
Govt. Logo

Hits 110627 |  6 online

           


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akimkabidhi Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Anwani ya Makazi ya Ofisi
news phpto

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akimkabidhi Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akimkabidhi Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Dkt Saada Mkuya Salum Anwani ya Makazi ya Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar kwa niaba ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar katika kikao kazi cha watendaji wa taasisi za Serikali kuhusu Sensa na Anwani za makazi kilichofanyika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni

Huduma za Tehama

Barua Pepe

Sisi

Mwanzo Kuhusu Sisi Idara Zetu

Viunga Muhimu

ZEMA ZAC DDA IKULU

Mawasiliano

Ofisi Kuu
S.L.P 2808, Migombani, Zanzibar
Tel.: +255(24)2232474 Mhe Waziri



Tel.: +255 (24)2232475 Katibu Mkuu,
Fax: +255 (24)2232476
Email: info@omkr.go.tz